GET /api/v0.1/hansard/entries/1353084/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1353084,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353084/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Khalwale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 170,
        "legal_name": "Bonny Khalwale",
        "slug": "bonny-khalwale"
    },
    "content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa hii nafasi. Ningependa kutumia hii fursa kuwaambia wale wote ambao wamechangia hii Mswada huu asante sana. Maoni na maono yenu tumeyasikia. Kwa hakika, wakati tutakapofika awamu ya tatu ya kutunga hii sheria, haya maoni yenyu yatachangia. Mwisho kabisa, ningependa kuwahakikishia wananchi kwa jumla kwamba wakati hii Mswada huu utakuja mbele yenyu katika ile awamu ya public participation, mchukue fursa kuhakikisha kwamba vile vile maoni yenyu tumeyasikia na kuyapata. Kwa hayo machache, nasema asante na naomba kujibu."
}