GET /api/v0.1/hansard/entries/1353595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1353595,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353595/?format=api",
    "text_counter": 461,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": " Asante Mheshimiwa Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii kuchangia mjadala huu. Kwanza ningeanza kumpongeza nahodha ama ni rubani? Ninampongeza Rubani Ruweida Mohamed Obo kwa kuja na mjadala huu na sheria hii kuja kuongeza wale wanyama pori wengine wakiwemo nyangumi na papa. Wakati kuna ile shida ya mgongano kati ya wananchi na wale wanyama pori, papa na nyangumi, watakaoathirika na hizo ajali watasaidika kwa kufidiwa kama ilivyo na wale wengine wanavyoathirika na ndovu na wanyama wengine. Hii inaonyesha kwamba lazima tuendelee kuzingatia mambo ya mazingira yetu na vile tunaishi. Kama ni wale ambao wanaishi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}