GET /api/v0.1/hansard/entries/1353650/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1353650,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353650/?format=api",
"text_counter": 516,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "Pia, kama nilivyotanguliza, nina azma ya kuongezea aina nyingine ya samaki ili bahari zetu ziwe salama. Endapo mtu ataathirika, awe na imani kwamba ataweza kupata ruzuku kulingana na Katiba, ratiba na sheria zetu za Kenya kupitia Mswada huu."
}