GET /api/v0.1/hansard/entries/1354160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1354160,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354160/?format=api",
"text_counter": 439,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw.Spika wa Muda. Swali langu ni moja au mawili hivi kwa Waziri wa Masuala ya Vijana, Michezo na Sanaa. Waziri, ni mipangilio gani ambayo umeifanya kufikia hivi sasa ili kuona ya kwamba kuna uhusiano baina wa FKF, wale waliyo ndani ya ofisi hivi sasa na wale"
}