GET /api/v0.1/hansard/entries/1354162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1354162,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354162/?format=api",
"text_counter": 441,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "waliokuwa pale awali na mashabiki wa mpira? Tunajua watu wengi wanapenda mambo ya kandanda. Nchini Kenya kuna wafuasi wengi wa kandanda. Ni mipangilio gani umefanya kuona ya kwamba uhusiano umerudi? Tunaelewa kwamba uhusiano kufikia hivi sasa bado umezorota sana ilhali tunajua kwamba mwezi wa pili utaweza kusimamia uchaguzi wa uongozi ndani ya Kenya kuhusu kandandana. Swali la pili ni kwamba ---"
}