GET /api/v0.1/hansard/entries/1354169/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1354169,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354169/?format=api",
    "text_counter": 448,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pending bills is a challenge. I want to indicate to this House that the pending bills that we have received as a report from the project are not confirmed yet. We are subjecting that report to internal screening, verification and assessment. We will only commit public resources to what is verified and what is authentic because on transparency and accountability, there is no compromise. It is absolutely zero tolerance to misuse of public resources. Mhe. rafiki yangu, Sen. Madzayo, amezungumzia kuhusu kuhakikisha kwamba kuna uhusiano bora kati ya shirikisho la kandanda humu nchini FKF na waliobobea zama za kale na vile vile mashabiki wa mchezo wa kandanda nchini Kenya. Wacha nimfahamishe Seneta kwamba, kumekuwa na hali tatanishi na changamoto tele kwenye mchezo wa kandanda hapa nchini. Itakumbukwa ya kwamba mwaka moja uliyopita tu, Kenya ilikuwa imepigwa marufuku na shirikisho la kandanda ulimwenguni Federation Internationale de Football Association (FIFA). Tulifanya jitihada za haraka sana kuhakikisha ya kwamba Kenya inarejea kwenye mashindano ya kandanda ulimwenguni. Hivi Karibuni, timu yetu ya Harambee Stars wamehusika kwenye mashindano ya kufuzu kwenye kombe la ulimwengu mwaka wa 2026. Timu zetu za akina dada vile vile zinaendelea hivyo hivyo. Ningependa kuhakikishia --- Nashukuru Bw. Spika wa Muda."
}