GET /api/v0.1/hansard/entries/1354437/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1354437,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354437/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mheshimiwa Mwenyekiti, licha ya kuwa nampigia upato katika bajeti yake kwa mambo ya ukulima na mengine, nimeangalia nikapata katika Ukanda wa Pwani, mimea yetu ambayo ni korosho, nazi na kisha ile Dongo Kundu ambayo makadirio yake yalikuwa watupe 20 per cent, haijaandikwa pale. Tulipewa only 1 per cent . Korosho, nazi na miwa ni mimea inayohitajika sehemu nyingi lakini haijawekwa popote. Hivi juzi niliona America wanatamani sana kuchukua miwa kutoka Pwani na kule Western . Kwa hivyo namuomba Chairman wa Budget and Appropriations Committee ambaye amesomea Kenyatta University, kwa hisani yako, Pwani mlikuja mkaomba kura, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}