GET /api/v0.1/hansard/entries/1354578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1354578,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354578/?format=api",
    "text_counter": 404,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "ingeruhusiwa kutumika, basi ingetusaidia kwa kuwa hatujapata hata msaada wa kaunti. Katika Wadi ya Kiunga, mashamba yote yameingia maji. Watu hawatapata chakula msimu huu. Kaunti inashughulikia sehemu ambazo zina kura nyingi."
}