GET /api/v0.1/hansard/entries/1354581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1354581,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354581/?format=api",
"text_counter": 407,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": " Asante Mhe. Ruweida. Ningependa kukujulisha kuwa, ndio idhini itolewe na Spika, ni lazima Mswada huu uwe ni wadharura na wakitaifa. Kwa hivyo, jambo hili si la Mandera Kusini peke yake bali ni jambo la kitaifa. Mhe. wa Kisauni, wakati ni wako."
}