GET /api/v0.1/hansard/entries/1354607/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1354607,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354607/?format=api",
    "text_counter": 433,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rabai, PAA",
    "speaker_title": "Hon. Kenga Mupe",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nimesimama nikiwa Mbunge wa Rabai kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na mheshimiwa kutoka Mandera Kusini. Ninampongeza kwa sababu ameleta Hoja hii wakati mwafaka. Kipindi hiki mvua hii ya El Nino imehangaisha wakaazi wa Pwani na Kenya nzima. Ndio maana ninasimama kama Mbunge wa Rabai kuunga mkono na kusema kwamba inafaa serikali itangaze rasmi mvua hii ya El Nino kuwa janga la kitaifa. Kama Mbunge wa Rabai, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}