GET /api/v0.1/hansard/entries/1354824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1354824,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1354824/?format=api",
    "text_counter": 178,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ilikuwa inafanyika katika makabila ya kiafrika na mengine yapo nchini. Ushindi wa vita dhidi ya hizi tamaduni chafu na mbaya ulipatikana kutokana na civic education. Ningemuomba Sen. Cherarkey aangalie hili jambo. Watu wetu wafundishwe na kuelezwa kuwa kuiba mifugo si jambo nzuri. Pia wafahamishwe kuwa sheria hii itafungua mashtaka kama yale yaliyo kwenye ukeketaji wa wanawake. Kwenye suala la ukeketaji kuna watu maalum ambao wanazungumza kulihusu wanaoitwa ‘ champions.’ Ningependa kuwepo na bodi na ‘ champions’ katika kaunti ambao watatembea haswa kwenye sehemu ambazo ziko na shida hii. Watu waketi chini"
}