GET /api/v0.1/hansard/entries/1356489/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1356489,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356489/?format=api",
"text_counter": 308,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunikinga kutokana na maswala ambayo umeyaona siyo nyeti. Askari polisi wanaweza kupigia mtu simu kuhusu mambo mengi sio mambo ya Haiti pekee yake. Wao hunipigia simu wakati ambapo watu wanashambuliwa na wezi wa mifugo katika Kaunti ya Laikipia. Wananipigia simu kama Seneta wao. Hili sio jambo geni. Kazi kuu ya Bunge hili ni kuidhinisha ili Wizara iweze---"
}