GET /api/v0.1/hansard/entries/1356493/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1356493,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356493/?format=api",
    "text_counter": 312,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ninaiunga mkono Hoja hii ili ndugu zetu walio Haiti waweze kusaidiwa na maafisa wa polisi walio na ujuzi na uzoefu. Watu wa Haiti ni ndugu zetu na wanahitaji huduma kutoka maafisa wetu ambao wamebombea katika kazi yao. Naunga mkono Hoja hii. Najua Sen. Oketch Gicheru ataunga mkono lakini ataleta kejeli kwanza. Asante."
}