GET /api/v0.1/hansard/entries/1356495/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1356495,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356495/?format=api",
    "text_counter": 314,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kupinga Hoja ya kupelekwa kwa polisi katika nchi ya Haiti. Vifungu vya 240 na 241 vya Katiba vinasema kuwa majeshi ni tofauti na polisi. Majeshi ya Kenya yana jumuisha jeshi la nchi kavu, jeshi la angani na wanamaji. Polisi wametajwa katika Kifungu cha 243. Kikatiba ni makosa kupeleka vikosi vya polisi katika nchi ya Haiti ambayo inajulikana kwa utovu wa usalama ulimwenguni. Tayari nchi hii haijafaulu kimaendeleo. Jambo la pili ambalo ninapinga ni kwamba katika sheria ya National Police"
}