GET /api/v0.1/hansard/entries/1356597/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1356597,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356597/?format=api",
    "text_counter": 416,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "wangu wa Care and Protection of Child Parents Bill (Senate Bill No. 29 of 2023). Nilikuwa hapa nikisikiza na kunukuu yale walipendekeza ili niyarekebishe. Nawapa hakika kuwa kama sponsor wa ile Bill, nitarudi katika kikao na wale walionisaidia ili tuiboreshe na iweze kuwasaidia watoto walio na watoto warudi shule na kupata haki ya kikatiba ya kupewa elimu na watoto wao wapate huduma inayohitajika. Mr. Temporary Speaker, Sir, Pursuant to Standing Order No.66(3) I request you defer the Putting of the Question to a later date. I thank you."
}