GET /api/v0.1/hansard/entries/1356618/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1356618,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356618/?format=api",
    "text_counter": 437,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "ina zaidi ya aina mia nne ya kahawa. Hapa nchini kuna zaidi ya aina 10 za kahawa. Wameendelea kiasi ya kwamba wanawezazalisha miche ya kahawa ambayo inalingana na urefu wako, ili usiwe na shida wakati unaenda kuchuna kahawa. Ili tufike hapa tunapendekeza kuwa na CRI na kuondoa kahawa chini ya"
}