GET /api/v0.1/hansard/entries/1356620/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1356620,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356620/?format=api",
"text_counter": 439,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Wakati kahawa, majani chai na mazao mengine yaliwekwa ndani ya AFA, tulifanya makosa kwani mazao ilididimia. Tumetoa kahawa kutoka kwa AFA na kuiweka chini ya Coffee Board of Kenya (CBK), ili iangaliwe vizuri vile inafaa. Hivi sasa kahawa imewekwa kwenye kikundi kimoja na dania, kalela na mchicha. AFA haijaangalia kahawa vizuri. Mswada huu unaashiria iwapo umepewa leseni ya kusaga na kuuza kahawa kama"
}