GET /api/v0.1/hansard/entries/1356932/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1356932,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1356932/?format=api",
"text_counter": 292,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "chini. Bila shaka, hustlers hawawezi kulipa kodi kama ilivyo katika nchi zilizostawi. Ndiposa ninasema tukunje bila kuvunja mbavu za Wakenya. Kushusha bei ya mbolea ni jambo muhimu sana Mheshimiwa Rais amefanya. Hii ni kwa sababu hili linakata gharama ndogo za wakulima. Lakini, shida bado iko palepale. Gharama ya mbolea imeshuka lakini mkulima lazima ataenda dukani kununua ile mbolea ilhali anatumia chombo kinachotumia mafuta kumletea mbolea ile katika shamba lake."
}