GET /api/v0.1/hansard/entries/1357430/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1357430,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1357430/?format=api",
"text_counter": 456,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nimekaa hapa kutoka Saa Nane na Nusu kusubiri fursa hii. Kwa vile sikuweza kupata fursa ya kuchangia Hotuba ya Rais, nachukua hizo dakika mbili ambazo nimepewa kumregeshea Kiongozi wa Walio Wachache."
}