GET /api/v0.1/hansard/entries/1357432/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1357432,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1357432/?format=api",
"text_counter": 458,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 380,
"legal_name": "Shakila Abdalla",
"slug": "shakila-abdalla"
},
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Tunaambiwa kuwa hatuongei kwa hili Bunge lakini ni nafasi tunanyimwa. Nashukuru kwa kupata nafasi hii ya dakika tatu kupitia kwa Majority Whip. Nitaanza na kuzungumza kuhusu mafanikio ya Hotuba ya Rais. Mafanikio haya ni kama vile kwenye kilimo, bei ya mbolea imepungua kutoka Kshs6,500 mpaka Kshs2,500 na kuongezeka kwa mapato ya kilimo kwa ekari 200,000. Pia kufufua sekta ya sukari ya umma. Nampongeza sana kwa hayo. Kwa upande wa uvuvi alisema kuwa ataanzisha vituo ishirini na mbili za tovuti za kutua katika mikoa ya Pwani na Nyanza. Tunampongeza kwa hili. Lakini pia, kuna changamoto ambazo Mheshimiwa Rais hakuziguzia kwa kina. Changamoto ya kwanza ni kuhusu elimu ya juu. Elimu ni swala nzima ambalo hakuliangazia kwa kina na kupeana suluhisho la kudumu kwa kupanda kwa karo. Wazazi wanahangaika sana juu ya gharama za elimu. Vile vile changmaoto ya watoto kupata"
}