GET /api/v0.1/hansard/entries/1357506/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1357506,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1357506/?format=api",
    "text_counter": 55,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13586,
        "legal_name": "Alexander Mundigi Munyi",
        "slug": "alexander-mundigi-munyi"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, swali langu kwa Cabinet Secretary ni kuwa katika Kaunti ya Embu kuna game reserve inaitwa Mwea Game Reserve ambayo iko na ndovu karibu 250. Wakati wa kiangazi, pale kuna mto unaitwa Thiba. Ndovu walivuka wakaenda Mavuria Ward na wengine wakaenda wadi za Mwea na Makima . Wakati wananchi walipiga kelele, hakuna hatua yoyote ilichukuliwa kwa sababu wale game rangers walisema hakuna mahali wale ndovu watapelekwa mpaka wangoje waamrishwe. Ilichukuwa karibu miezi miwili ama mitatu na wakasumbua watu sana. Bw.Waziri, naomba kujua ni hatua gani utachukua ili mvua ikipungua wasiweze kuenda kusumbua watu tena. Baadaye, walichukuliwa na magari wakapelekwa. Ili hayo mambo yasifanyike katika Mbeere South, katika Embu County, utachukua hatua gani? Pia, hapo hakuna hata simba mmoja kwa hiyo game reserve."
}