GET /api/v0.1/hansard/entries/1357513/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1357513,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1357513/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Cabinet Secretary for Tourism and Wildlife",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Therefore, the mandate still lies with the hon. Senator and other legislators. If you put it back, then we can pay. As you know, the Government operates on the basis of rules and the rule of law. It is very clear that snakebites are not compensated by the Government. Mr. Temporary Speaker, Sir, on the second question, by Sen. Munyi Mundigi from Embu, ameuliza swali kuhusu shida ya ndovu. Amesema kuna ndovu 250 ambao wako eneo hilo na ndovu wanne walitoka hivi majuzi. Ningependa kumwambia ya kwamba sisi tunashirikiana sana. Utakuta ya kwamba Mwea Game Reserve ni r eserve. Inamaanisha ya kwamba inatawaliwa na serikali ya Kaunti ya Embu. Kwa hivyo, sio National Park kama yetu. Ijapokuwa tuko na Kenya Wildlife Service (KWS) ambayo inahudumia wanyama wote katika nchi yetu ya Kenya, tunataka tuwe na ushirikiano. Kwa hivyo ile"
}