GET /api/v0.1/hansard/entries/1357515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1357515,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1357515/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Cabinet Secretary for Tourism and Wildlife",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ya Mwea Game Reserve inapaswa kuwa na rangers ambao watasaidia katika hizi shida peke yake. Ukisikia kuwa watu walisema hawana njia, nguvu, amri ama uwezo wa kwenda kuondoa wale ndovu, usifikiri ni kwa sababu sio kazi yao, bali ni kwa sababu hawatoshi. Tuko na upungufu wa vijana na wasichana ambao tungependa wawe wanafanya kazi kwa KWS. Hivi majuzi Rais wetu alikubali kwamba tuweze kuajiri vijana wengine karibu 1,500, wengi kutoka National Youth Service (NYS) ndipo tuweze kuongeza ile idadi ya wafanyikazi, ili ukihitaji msaada siku inayokuja tuwe na watu wanaoweza kukuhudumia. Kenya Wildlife Service (KWS) inahudumia wanyama wote waliomo katika game reserve ama nje. Tunafanya mambo mawili. Tunaangalia mambo ya fencing ili tuweze kuweka wanyama wanapopaswa kuwa, ambayo nita itaja nikijibu swali nililoulizwa na Mheshimiwa kutoka Kaunti ya Makueni. Jambo la pili ni kuwa tuna mpango wetu wa kuchimba bwawa na water pans tofauti mahali ndovu wako. Hii ni kwa sababu kulikuwa na ukame uliosababisha ndovu kutoka. Kwa hiyo tutawachimbia maji yao na mimea yao, ili wakae kwao bila kuja mahali wananchi wako. Hon. Temporary Speaker, Sir, on the third question asked by the Senator of Makueni County, my good friend, Sen. Maanzo, about the wildlife conflict, I visited Makueni just a few weeks ago. I visited the home of a man who had been killed by an elephant. For the record purpose, it was quite heartbreaking. His wife told me that she was in the market and she heard that an elephant was near their area and had killed somebody. She knew her husband had left that morning to go somewhere else and was to come back in the evening. So, when she was done with everything, she went home, so that she could warn her husband that there was a rogue elephant around. When she got home, she found that people were waiting for her, and it was her husband who had been killed by the elephant. It is a real problem. We need to separate the animals from the people by fencing. Already, we have a budget of Kshs50 million for fencing in that area. I am about to add another Kshs100 million in part of our deployment of funding from our Ministry, so that we have Kshs150 million. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}