GET /api/v0.1/hansard/entries/1357845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1357845,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1357845/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika. Kuna sababu maeneo bunge mengine huitwa maeneo ya ugumu. Hawa Wabunge wakisikia hivyo, wanafikiria zile pesa au faida watakazozipata. Ninakubali na ninaamini kuwa Kenya yote ni eneo la ugumu ama hardship area . Lakini, kuna wale ambao wana matatizo zaidi. Hili Bunge linafaa lifanye usawa kwa Wakenya wote. Pengine, Wabunge hawajui maana ya maeneo ya ugumu kwa vile hawakai huko na hawaelewi wengine wanapata matatizo gani. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}