GET /api/v0.1/hansard/entries/1358019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1358019,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1358019/?format=api",
    "text_counter": 219,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Ninamweleza Mbunge mwenzangu kuwa mimi ndio mama mwakilishi wa Mombasa. Ninachunguza na kuangalia. Ni kweli tulikuwa na yule Waziri hapa. Lakini, unapopinga hapa, je wajua alizindua sehemu mbili za kuweka Wi-Fi ? Usilolijua ni usiku wa giza. Angalia ya kwako niangalie ya kwangu. Kule kwetu walimu walikuwa wachache sana tukizingatia namba ya 56,000 ambayo imetolewa. Kwa hivyo, tuheshimiane. Zungumza ya Dagoretti, au sijui ni ya wapi, na uniwachie ya Mombasa."
}