GET /api/v0.1/hansard/entries/1358030/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1358030,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1358030/?format=api",
"text_counter": 230,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika, ninaposikia Waheshimiwa wenzangu wakizungumza jinsi hali ya maisha ilivyo, ninashangaa sana. Hii ni kwa sababu, wanaotuzungumzia na kutueleza hayo mambo ni wale waliotutia katika shimo la matatizo katika taifa hili. Katika uongozi wao walipora mali ya wananchi na kupeleka katika mataifa ya nje. Walitumia pesa za wananchi vibaya kwa kufanya"
}