GET /api/v0.1/hansard/entries/1361722/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1361722,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1361722/?format=api",
"text_counter": 1628,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hayo yakijiri, kuna aina mbali mbali ambazo tunaweza kuangalia na kuona kama kulikuwa na kosa au la. Njia muhimu ya sisi kufuata ni kuangalia Kanuni zetu za Bunge na Katiba inasema nini . Ndugu zangu Maseneta mlio hapa, mko na wajibu mkubwa sana. Ikifika wakati kama huu, hakuna cha hawa wako party hii hawa hii. Tunaangalia ukweli umesimama wapi na Bunge la Seneti linasimama na ukweli."
}