GET /api/v0.1/hansard/entries/1361724/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1361724,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1361724/?format=api",
"text_counter": 1630,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Naambia Wakenya wasiwe na wasiwasi. Tumesikiza na kila mtu atatoa wajibu wake. Kila mtu ataamua kutoka Kosa la Kwanza mpaka la Saba kama wamekubaliana ama wamekataa. Ukweli utazidika wazi na uamuzi utafanyika hivi leo hapa hapa ndani ya Bunge la Seneti. Langu ni kuwatakia kila la heri katika uamuzi wenu. Nina imani Wakenya wote kuanzia leo watakuwa na imani na Seneti."
}