GET /api/v0.1/hansard/entries/1361851/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1361851,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1361851/?format=api",
"text_counter": 1757,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii muhimu iliyo mbele yetu. Kwanza nazipongeza pande zote mbili; upande wa Bunge la Kaunti na upande wa gavana kwa kuleta matatizo yao katika Seneti, ili yatatuliwe. Hakuna upande ambao utakaokuwa umeshinda uamuzi utakaotolewa. Uamuzi utakaotoka hapa utakuwa ni uamuzi wa Bunge ambao lazima tuukubali na pia utekelezwe kama itakavyokubalika. Sisi kama Waislamu twasema, kosa moja haliachi mke. Vile vile,"
}