GET /api/v0.1/hansard/entries/1363649/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1363649,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1363649/?format=api",
    "text_counter": 250,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": "imelipwa. Ninafikiria njia bora zaidi ni kuhakikisha kwamba cess inatozwa katika gatuzi ambako bidhaa hizo zinatoka. Na ikiwa hivyo basi inamaanisha dereva wa gari linalobeba bidhaa hizo anapaswa kuwaonyosha risiti maafisa wa ushuru katika gatuzi mbali akiambiwa alipe ushuru."
}