GET /api/v0.1/hansard/entries/1363710/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1363710,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1363710/?format=api",
    "text_counter": 311,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Fatuma Masito",
    "speaker": null,
    "content": "Baada ya mzunguko huu wote tuliofanya, tulionelea kama Kamati kuitayarisha Ripoti hii iliyoko mbele ya Bunge hili. Tunawapenda Wakenya wetu, na tunataka waishi maisha mazuri na ya kuheshimika kama mataifa mengine kule ughaibuni yanavyofanya. Kwa hayo machache, ninaiunga mkono Hoja iliyoko mbele ya Bunge."
}