GET /api/v0.1/hansard/entries/1363774/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1363774,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1363774/?format=api",
    "text_counter": 375,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": " Ashante, Mheshimiwa wa Kirinyaga. Ninafikiri motisha leo imetoka Molo ikatembea mpaka Kirinyaga. Nimemuona Mhe. Harrison Kombe na Mhe. Fatuma wakikubaliana na wewe kwa sababu uko sawa. Ni vizuri tukijizoesha kuongea lugha hii. Hii ni lugha yetu. Duniani, watu ambao wanakizungumza Kiswahili ni zaidi ya milioni mia mbili. Inafaa tufike pale ambapo tutakienzi na kukizungumza Kiswahili. Nafasi hii nitampa Mbunge wa Nandi, Mhe. Bernard Kitur."
}