GET /api/v0.1/hansard/entries/1366828/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1366828,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1366828/?format=api",
"text_counter": 3000,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Thang’wa",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nilitaka kujua hivyo tuu. Bw. Spika, katika nakala ya pili, kutoka County Assembly ya Meru, kurasa ya saba hadi 29 ni ile wanaita IFMIS printout . Katika column 3, imeandikwa sub-item description na kuna pre-payments kutoka mwezi wa Julai, 2022 hadi ukurasa wa 29, Julai 6, 2023. Huo ni mwaka mmoja. Katika hio sub-item ya pre-payment, zimelipwa 410, kwa watu tofauti, ikiwemo huyo muungwana anaitwa Meme aliyetajwa hapa mara kadhaa. Swali langu ni kwamba amekuwa akilaghai kupitia huyo mtu ama wale ambao ni ndugu---"
}