GET /api/v0.1/hansard/entries/1366832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1366832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1366832/?format=api",
"text_counter": 3004,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Thang’wa",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, nataka utuelezee kama ni ukweli alikua analaghai kupitia familia na kama hao wengine wote wamepewa pesa, anajua hangelaghai kupitia hao. Angelaghai tu kupitia wale watatu ametaja lakini sio wale wengine 300 ambao wamepewa pesa hizo."
}