GET /api/v0.1/hansard/entries/1367964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1367964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1367964/?format=api",
    "text_counter": 144,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Tukiangalia kama shirika la Kenya Airways, wanapolipisha tikiti zao za ndege, utapata kwamba ni dhuluma kubwa wanafanyia wateja na wananchi wa Kenya. Nikisafiri baina ya Kaunti za Mombasa na Nairobi, unawezapata asubuhi tikiti ni Kshs9,000 lakini ikifika saa tano, tikiti imefika Kshs18,000. Inapanda marudufu kila baada ya masaa. Wakati mwisho wa mwaka shirika hili linaregesha hasara na hasara ile inadhaminiwa na Serikali."
}