GET /api/v0.1/hansard/entries/1367966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1367966,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1367966/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, ni lazima mashirika haya yawajibike. Hii ni kwa sababu kodi hiyo inalipwa na mwananchi wa Kenya. Ni dhuluma kwamba inalipiwa mashirika ambayo nusu ya hisa zinamilikiwa na wenye hisa binafsi. Asante kwa kunipa fursa hii."
}