GET /api/v0.1/hansard/entries/1368038/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1368038,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1368038/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, Mswada huu ni mzuri kwa sababu kaunti zetu ambazo pesa nyingi tunapeleka zitatumika kutengeneza hizi sehemu ambazo hawa wazazi ambao ni wachanga wataweza kuwa wananufaika kwa maelezo, ndio waweze kujua watajilinda kivipi."
}