GET /api/v0.1/hansard/entries/1368039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1368039,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1368039/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Wengine wao sio kwa sababu walijihusisha kwa ndoa za mapema. Wengine wao wamenajisiwa. Kwa hivyo, wataenda pale kupata maagizo ya kutosha na waweze kuendelea na maisha yao ya usoni. Hata hivyo, kama ni yule amenajisiwa, unapata hajui atafanya nini. Lakini kwa maagizo na maelezo ambayo atapata katika zile sehemu ambazo zitatengwa kwa kaunti zetu, itamuwezesha kuendelea mbele."
}