GET /api/v0.1/hansard/entries/1368041/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1368041,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1368041/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wakili Sigei",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": null,
"content": " Sen. Kinyua, kidogo pale ukiendelea na mchango wako, umechanganyisha lugha kinyume na Kifungu 92. Pale ulipoitaja human rights. Lugha sanifu inasema haki za kibinadamu. Mara nyingine, tafadhali fuatilia sheria za lugha unayotumia."
}