GET /api/v0.1/hansard/entries/1368734/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1368734,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1368734/?format=api",
    "text_counter": 309,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Fatuma Masito (",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "wake. Lakini Bunge hili linavyolitambua na kufanya kazi yake, linapiga msasa na kuweza kuleta watu ambao watawajibika na kuangalia pesa inavyofanya kazi ili kuonekane kuna uwazi na usawa katika pesa ya NG-CDF. Pesa hii ni pesa ya Serikali na lazima tuitunze katika ile sehemeu yetu ya oversight ili tuhakikishe pesa ya umma imeweza kutumika vizuri, kwa njia nzuri na kwa njia ambayo haina mapendeleo kwa wengine. Ninasema asante sana kama Mama Kaunti wa Kwale. Ninaipigia upato sera hii. Asante."
}