GET /api/v0.1/hansard/entries/1369463/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369463,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369463/?format=api",
"text_counter": 642,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "NEMA) imewapa approvals. Sasa, hapa watu hawajui ni stakabadhi ipi iliyo sawa katika taifa hili. Mtu huwa na title deed lakini hana uhakika wa alipo hata akikaa pale na anawezakuja kuaambiwa hii title deed ni feki. Atakaa pale, halmashauri iliyompa stakabadhi kama vile NEMA itasema “sisi hatujui” ilhali waliwatembelea na walihusika. Hii ingekuwa funzo kwa sababu Serikali ilihusuka. Wawekezaji hawangenjenga hapo wakijua halmashauri haijawapatia idhini ndiyo kesho iwageuke. Haiwezekani! Sheria iko wapi? Ninasema hao watu walipwe. Utakuta tuna kambi za wakimbizi na Serikali imewawekea hema, maji na chakula, huku Wakenya ambao wamevunjiwa manyumba wanalala barabarani. Haiwezekani! Hili jambo lazima likemewe, lisitokee sehemu nyingine."
}