GET /api/v0.1/hansard/entries/1369464/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369464,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369464/?format=api",
"text_counter": 643,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ninaomba Wizara ya Ardhi itembelee sehemu hiyo ilitupitishe hawa watu walipwe na Serikali. Hii ni kwa sababu inahusika katika uvunjanji huo na ukosefu wa mwelekeo wa kuongoza watu wake. Kwa hayo mengi, ninasema asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi."
}