GET /api/v0.1/hansard/entries/1369467/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369467,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369467/?format=api",
"text_counter": 646,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Fatuma Masito",
"speaker": null,
"content": "Hii ni kwa maana, watu wa Mavoko wamepokonywa haki yao ya maisha. Ninahakika kuna watu sasa hivi wameshikwa na mishipuko ya maradhi ambayo hawakuwa nayo kama highblood pressure kwa sababu ya tendo lililotokea. Akina mama wameteseka na watoto kwenye baridi tangu juzi na serikali bado haijafungua mdomo, imenyamaza. Hii ni dhahiri shahiri serikali imeshindwa kufanya kazi yake."
}