GET /api/v0.1/hansard/entries/1369469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369469,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369469/?format=api",
"text_counter": 648,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Fatuma Masito",
"speaker": null,
"content": "nyumba yake, ana mkopo, ameekeza na kujua maisha yake yote yako pale. Leo hii unamwambia hana makao. Serikali ya Kenya Kwanza imeshindwa na ndio maana saa zingine nintamani tungeichukua sisi watu wa Azimio, chini ya Mhe. Raila Amollo Odinga. Yeye in mtu mzima na mwenye busara. Kwa sababu huwezi kumwangalia mwananchi wako ambaye amekupigia kura juzi na hata yule ambaye hakukupigia kura akifa."
}