GET /api/v0.1/hansard/entries/1369617/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369617,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369617/?format=api",
"text_counter": 86,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kikuyu, UDA",
"speaker_title": "Hon. Kimani Ichung’wah",
"speaker": null,
"content": "yalitangaza kwamba Kenya itapata msada wa USD12 billion, ambazo zitasaidia kuhakikisha kwamba watu wa Jomvu, Jitoni na Rabai katika Kaunti ya Kilifi wamejengewa hiyo barabara. Waziri alikua hapa jana. Alituambia kwamba shida imekuwa kuanzishwa kwa barabara mpya. Lakini ujenzi wa barabara kama hii, ambao ulisitishwa makusudi kwa sababu ya siasa duni, ni lazima uendelee. Ninamshukuru kiongozi ambaye anajiita kijana mwepesi. Anajiita mwepesi lakini ni mzito kwa maneno."
}