GET /api/v0.1/hansard/entries/1369629/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1369629,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369629/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ndia, UDA",
    "speaker_title": "Hon. George Kariuki",
    "speaker": null,
    "content": " Waziri. Nilikuwa nikisema Mhe. Bady akiwa kwa kamati, sisi humwambia azungumze kwa lugha ya Kiswahili. Hii ni kwa sababu, Kiswahili chake ni kizuri sana. Jana Waziri alikuja kuzungumzia bajeti na mimi nili refrain na sikuongea kuhusu hilo swali. Niliona haikufaa kumwalika aongee kuhusu bajeti, kwa sababu hii ni kazi ya Bunge. Kutengeneza bajeti ni kazi ya National Assembly na siyo ya Executive."
}