GET /api/v0.1/hansard/entries/1369630/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1369630,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369630/?format=api",
    "text_counter": 99,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ndia, UDA",
    "speaker_title": "Hon. George Kariuki",
    "speaker": null,
    "content": "Tukimwalika Waziri aje hapa kutuambia ni kwa nini bajeti imetengenezwa namna hiyo, ilhali hii ni kazi yetu, tunampatia kazi yetu ambayo tunapaswa kufanya. Mbunge ambaye alikuwa ameuliza swali hilo ni wa kiwango cha juu na anaelewa kazi ya Bunge. Haikufaa tumwalike Waziri azungumze juu ya kazi yetu na ku oversight hili Jumba. Alisema vile tumefanya, tunavyopaswa kufanya na kule tumekosea. Oversight ni kazi ya National Assembly na siyo ya Executive . Kwa hivyo, tukiwaalika Mawaziri wacha waongee kuhusu"
}