GET /api/v0.1/hansard/entries/1369647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1369647,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369647/?format=api",
    "text_counter": 116,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ndia, UDA",
    "speaker_title": "Hon. George Kariuki",
    "speaker": null,
    "content": " Asante, Mhe. Spika wa Muda. Ninafikiri Kiongozi wa walio Wengi, badala ya kunikosoa na hoja ya nidhamu angenielezea vizuri. Sikuwa nimesema Mawaziri wasikuje hapa Bungeni. Lakini hatungemwalika kuongea kuhusu kutengeneza bajeti. Tungemwalika aongee kuhusu implementation . Ninafikiri hapo ndipo hakuelewa vizuri. Nikimalizia, ninataka kuongezea kwamba, hata ile pesa Mbunge wa Kathiani aliulizia ya Roads Mainentenance Levy Fund (RMLF), juzi tulibadilisha sheria kama Bunge. Tulisema lazima agency zote za barabara, zilete mipangilio ama programmes zao hapa Bungeni ili tukubaliane kwamba, zimeangalia nchi yote na si upande moja."
}