GET /api/v0.1/hansard/entries/1369648/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369648,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369648/?format=api",
"text_counter": 117,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ndia, UDA",
"speaker_title": "Hon. George Kariuki",
"speaker": null,
"content": "Tulifanya hivyo kwa sababu kugawa pesa za umma ni kazi ya Bunge. Hii si kazi ya kufanyiwa ndani ya ofisi ya mtu yeyote. Ninataka kumweleza Mhe. Bady kwamba tutamuunga mkono tukiangalia Fuel Levy na bajeti, ndio hiyo barabara ikamilike. Kwa sababu ni muhimu sana kwa watu wa Jomvu, Kilifi na Wakenya . Asante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}