GET /api/v0.1/hansard/entries/1369665/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369665,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369665/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi North, UDA",
"speaker_title": "Hon. Owen Baya",
"speaker": null,
"content": " Ninawasilisha: 1. Ripoti ya Mhasibu Mkuu na hesabu za shirika zifuatazo ya kiserikali katika mwaka wa kifedha wa tarehe 30 Juni, 2021 hadi 30 Juni, 2022: (a) Shule ya Upili ya Mwanambeyu ya Wasichana; (b) Shule ya Upili ya Wanafunzi Walemavu ya Mombasa; (c) Shule ya Upili ya Barani; (d) Shule ya Upili ya Wasichana wa Dori; (e) Shule ya Upili ya Elijah Mzae; (f) Shule ya Upili ya Wasichana wa Kakoneni; (g) Shule ya Upili ya Wasichana wa Mtongwe; (h) Shule ya Upili ya Mwakitawa; (i) Shule ya Upili ya Chawia; (j) Shule ya Upili ya Jilore; (k) Shule ya Upili ya Kipsangui ya Wavulana; (l) Shule ya Upili ya Mseto ya Masosa; (m) Shule ya Upili ya P.C.E.A Karai; (n) Shule ya Upili ya Ng’ethu; (o) Shule ya Upili ya Jack Mwashimba; na, (p) Shule ya Upili ya Funju. 2. Ripoti ya Mhasibu Mkuu wa Serikali kuhusu Ripoti Maalum ya Uhasibu ya Bajeti ya Nyongeza ya Ziada kuhusu pesa zilizotolewa kupitia Kifungu 223 cha Katiba ya Kenya kulingana na Mwaka wa Fedha wa 2012/2013 mpaka 2022/2023. 3. Ripoti ya Mwaka ya Serikali ya Bajeti ya Utekelezaji wa Bajeti na Ripoti ya Mwaka wa 2022/2023 kutoka kwa Ofisi ya Mkaguzi wa Bajeti."
}